Followers

About Ypain

Inspiration

TAMBUA UMUHIMU WA KITU CHA PEKEE ULICHONACHO AMBACHO HAKIFANANI NA MTU MWINGINE YEYOTE.

Kwa kawaida kila binadamu ana kitu cha pekee kama zawadi ambayo hupewa na muumba, kitu ambacho si kazi ndogo kukijua lakini pia huwa na matokeo mazuri sana kama kitatumika vizuri. naamini hata wewe unayesoma maneno haya unacho kitu cha pekee ambacho ni zawadi uliyopewa. 

kuna njia kadhaa za kujua zawadi hiyo uliyopewa. unaweza kutumia watu, kujifunza, kuangalia na kujichunguza zaidi vitu unavyovipenda na unavyo vichukia na yinginezo nyingi. amini nakuambia huishi vizuri sana watu wale ambao wamegundua zawadi au uwezo wa pekee walio nao. 
Image result for ability

No comments:

Post a Comment

Add your comment here